16 Sep 2026 10:12 am | Citizen TV 99 views Duration: 3:37 Baadhi ya waliokuwa wakijihusisha na uwindaji haramu katika Mbuga ya Tsavo, Taita Taveta, sasa wamegeukia ufugaji wa samaki. Wakazi wengi wa Bura, Mwatate, pia wameanza kufuga samaki kama njia ya kujipatia riziki.