- 757 viewsDuration: 53sMajiji ya New York na New Jersey kule marekani yanajiandaa kuangaziwa kimataifa kwa kombe la dunia la FIFA 2026 katika uwanja uliopewa jina la New York New Jersey huko East Rutherford, unaojulikana nje ya mashindano ya fifa kama uwanja wa Metlife.