- 213 viewsDuration: 6:03kwenye makala maalum tunaangazia tishio linalokodolea macho baadhi ya shule za umma katika maeneo ya Makueni, Kajiado na Kitui. Hali ya umaskini imesababisha masomo kuathirika huku baadhi ya shule zikikosa kabisa vifaa na miundo msingi ya kawaida