Skip to main content
Skip to main content

Makala: Wanafunzi wanahangaika ukambani; shule Makueni, Kitui na Kajiado hazina vifaa vya kutosha

  • | Citizen TV
    555 views
    Duration: 5:55
    Hii leo kwenye makala maalum tunaangazia tishio linalokodolea macho baadhi ya shule za umma katika maeneo ya Makueni, Kajiado na Kitui. Hali ya umaskini imesababisha masomo kuathirika huku baadhi ya shule zikikosa kabisa vifaa na miundo msingi ya kawaida. Mwanahabari wetu Serfine Achieng-Ouma anatuletea taswira ya shule, watoto na walimu ambao licha ya hali ngumu ya maisha, wanajaribu kadri ya uwezo wao kupiga hatua katika kufanikisha elimu.