27 Oct 2025 10:54 am | Citizen TV 246 views Duration: 1:27 Maandalizi ya sherehe za kitamaduni za jamii ya Maa ambazo zitaandaliwa Ndani ya Mbuga ya Amboseli kwanzia tarehe 4 mwezi ujao hadi tarehe 9 yanaendelea kushika kasi huku mikakati mingi ikiwa imekamilika.