Makali ya Ukame katika eneo bunge la Mwingi ya Kati sasa umewalazimisha wakazi kurejea kwenye maarifa ya jadi.
Kutoka kwenye visima vilivyobaki, maji chafu na yenye tope yanachotwa — bado ni ishara ya matumaini.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya