- 32 views
Kamati ya bunge ya kitaifa kuhusu haki na mswala ya sheria imewasaili watu wote saba waliopendekezwa kuwa makamishna wa tume huru ya uchaguzi na mipaka - IEBC. Aliyependekezwa kuwa mwenyekiti wa tume hiyo, Erastus Edung Ethekon, ambaye alikuwa mwanasheria mkuu kwenye serikali ya kaunti ya Turkana, alitakiwa kufafanua jinsi atakavyotekeleza wajibu wake bila upendeleo , hasa ikifahamika kwamba ana uhusiano wa karibu na naibu mkuu wa wafanyakazi katika ikulu ya rais, Josphat Nanok. Ethekon alijitetea akisema ana uwezo wa kuongoza tume hiyo akisema uhusiano wake na gavana huyo wa zamani wa Turkana ni wa kikazi na kwamba hautaathiri utendakazi wake.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Makamishna walioteuliwa wa IEBC wasailiwa
- - Duniani Leo ››
- 2 Jun 2025 - Compensation of victims of police brutality during demonstrations was among issues ODM and UDA agreed to pursue in their deal.
- 2 Jun 2025 - Former Deputy President last week said he only wants his impeachment reversed and to be compensated.
- 2 Jun 2025 - President's speech disrupted in Kisii, Natembeya skips event and Mbarire accuses State officials of disrespecting her.
- 2 Jun 2025 - Finance Bill 2025 site: Activists demand the release of Rose Njeri
- 2 Jun 2025 - Deadly parasite mimics malaria, quietly claiming lives undetected
- 2 Jun 2025 - How Ngugi's pen landed him in prison and later sent him into exile
- 2 Jun 2025 - Old guards face rebellion as Western Kenya rethinks its future
- 2 Jun 2025 - Going back to the roots: State acts to save healing herbs
- 2 Jun 2025 - Ruto unveils score card, says his economic plan is bearing fruit
- 2 Jun 2025 - Unbroken hope: Kipng'etich's fight with a rare urethral condition