Skip to main content
Skip to main content

Makamu wa rais mpya wa Tanzania ni nani?

  • | BBC Swahili
    28,670 views
    Duration: 3:24
    Chama tawala nchini Tanzania kimempendekeza Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu mpya wa Rais wa Tanzania, baada ya aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo, Dk. Emmanuel Nchimbi, kujiuzulu. Deogratius John Ndejembi ni nani na safari yake ya kisiasa imemfikishaje kwenye nafasi ya Makamu wa Rais? Mwandishi wa BBC, @frankmavura ametuandalia taarifa hii inayochambua kwa kina safari yake katika uongozi. #bbcswahili #emmanuelnchimbi #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw