Skip to main content
Skip to main content

Makanisa ya Kipentekoste yaungana kudhibiti mienendo na kudumisha maadili ya kanisa nchini

  • | Citizen TV
    48 views
    Makanisa ya kipentekoste nchini yameanzisha muungano unaotarajiwa kudhibiti mienendo ya makanisa hayo . wakizungumza hapa jijini nairobi , waanzilishi wa muungano huo, wamesema watahakikisha wametii kanuni zilizowekwa na serikali ili kudumisha maadili ya kanisa nchini.