2 Dec 2025 1:15 pm | Citizen TV 375 views Duration: 1:45 Idara ya mahakama kaunti ya Kwale imeibua wasiwasi kuwa kuna baadhi ya makao ya watoto yanayoendeshwa bila usajili na huenda yanafanya biashara za ulanguzi wa watoto katika eneo la Lungalunga.