- 728 viewsDuration: 1:48Katika kile kinachoonekana kama hatua iliyopangwa vyema na kundi la makatibu wanane kutoka wizara mbalimbali kupigia debe uungwaji mkono kwa rais William Ruto kuelekea uchaguzi wa mwaka 2027, kundi hilo linalojitambulisha kama team kazi , limesema lengo lao ni kumsaidia rais kutekeleza miradi yake .