- 137 viewsDuration: 2:02Makavazi ya Kitaifa ya Kenya, kwa ushirikiano na serikali ya Kaunti ya Migori na washikadau wengine, yatazamiwa kuzindua mpango maalum wa mafunzo ya kujenga ua kwa kutumia mawe makavu ulengao vijana 48 kutoka Kaunti Ndogo ya Nyatike.