- 2,131 viewsDuration: 3:12Familia 21 zilizowapoteza wana wao kwenye mkasa wa moto katika bweni la wavulana shuleni Hillside Endarasha mwaka jana bado zinadai majibu kuhusu chanzo cha moto huo. Familia hizo zinasema kukosa taarifa kuhusiana na yaliyojiri ndio kikwazo kikubwa kwa wao kupiga hatua za kutuliza nyoyo zao. Kamau Mwangi alizungumza na familia iliyompoteza mtoto aliyekuwa na miaka 13