Skip to main content
Skip to main content

Makueni: Wakulima na KWS wakutana na kuweka mikakati kuutatua mzozo kati ya binadamu na wanyamapori

  • | NTV Video
    57 views
    Duration: 2:09
    Huenda tatizo la mzozo kati ya binadamu na wanyamapori ambao umekuwa ukiendelea kwa muda katika maeneo ya Kibwezi, Kaunti ya Makueni yanayopakana na hifadhi za wanyamapori ukatokomea kabisa baada ya washikadau mbalimbali wakiwemo wakulima na idara ya kuhifadhi wanyamapori [KWS] kukutana na kuweka mikakati kuutatua Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya