- 248 viewsDuration: 1:32Madereva wa masafa marefu kutoka Mombasa wametoa makataa kwa serikali na jumuiya ya Afrika mashariki kutatua changamoto ya usalama katika taifa la sudan kusini. wamelalamikia kukamatwa kwa Mwenyekiti wa madereva wa masafa marefu kaunti ya Mombasa Sudi Mwatela mpakani Uganda na Sudan kusini huko NIMLE