Skip to main content
Skip to main content

Mama mmoja nchini India aibiwa mtoto wake akiwa amelala

  • | BBC Swahili
    3,598 views
    Duration: 59s
    Tukio hilo limetokea baada ya mtu mmoja kuonekana akimchukua mtoto huyo wa miezi sita bila ruhusa wakati mama yake amelala Polisi waliweza kumpata mtoto huyo ndani ya saa 24 baada ya kutumia programu mpya inayowawezesha kuona na kufuatilia kamera za CCTV za eneo hilo. #bbcswahili #india #uslama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw