- 1,189 viewsDuration: 5:57Mkewe Rais Rachel Ruto kwa miaka amekuwa mstari wa mbele kuwawezesha kina mama kupitia mfumo wa kuwekeza bila kuweka pesa benki maarufu kama Table Banking. Ni mradi ulioshika kasi kutoka vijijini na mijini hapa nchini. Kwenye mahojiano yetu ya Mkewe Rais Rachel Ruto