- 1,776 viewsDuration: 2:41Mamia ya wakenya walijitokeza kwenye barabara za Nairobi leo asubuhi huku biashara zikitatizwa kufuatia taarifa za kifo cha waziri mkuu wa zamani Raila Odinga. Wengi wao wakiwemo vijana walibeba matawi katika sehemu mbalimbali za jiji kuu la Nairobi wakimuomboleza Raila