31 Jul 2026 1:46 pm | Citizen TV 32,921 views Duration: 58s Mamia ya wafuasi wajitokeza katika mji wa Takaba kaunti ya Mandera kumpokea mwanasiasa Alinoor Mohamed, kabla ya kumuidhinishwa rasmi kuwania kiti cha ugavana kaunti hiyo.