Skip to main content
Skip to main content

Mamilioni washangazwa na tukio la kupatwa kwa jua

  • | BBC Swahili
    7,141 views
    Duration: 26s
    Mamilioni ya watu Ulaya, Afrika Kaskazini na Amerika Kaskazini walitoka kushuhudia kupatwa kwa Jua. Dunia, Mwezi na Jua vilijipanga katika mstari mmoja, hivyo Mwezi ukazuia mwanga wa Jua kufika katika baadhi ya maeneo ya Kizio cha Kaskazini, na maeneo hayo yakawa na giza kwa muda. Huko Iceland na Hispania, watu walishuhudia kupatwa kwa Jua kwa ukamilifu ambapo Mwezi ulifunika kabisa Jua. #bbcswahili #kupatwakwajua #solareclipse Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw