10 Dec 2025 1:27 pm | Citizen TV 192 views Duration: 1:48 Katika hatua ya kulainisha sekta ya mashirika yasiyo ya serikali nchini, serikali imebadilisha rasmi jina la Mamlaka ya Udhibiti wa Mashirika ya Manufaa ya Umma (PBORA), ambayo hapo awali ilikuwa Bodi ya Uratibu wa NGOs.