29 Oct 2025 10:15 am | Citizen TV 113 views Duration: 1:48 Mamlaka ya maendeleo ya Pwani CDA imekabidhi rasmi serikali ya kaunti ya Kilifi jengo la vyumba vya wagonjwa mahututi katika hospitali kuu ya Malindi.