Skip to main content
Skip to main content

Mange Kimambi aipeleka META mahakamani

  • | BBC Swahili
    1,034 views
    Mwanaharakati wa mtandaoni Mange Kimambi ameishtaki kampuni ya Meta katika Mahakama ya California, akidai kampuni hiyo ilifunga akaunti zake za Instagram baada ya kushinikizwa na Serikali ya Tanzania. Hata hivyo Meta haijatoa taarifa yoyote kuhusu madai hayo