- 52,242 viewsDuration: 3:19Mwanaharakati wa mtandaoni Mange Kimambi ameishtaki kampuni ya Meta katika Mahakama ya California, akidai kampuni hiyo ilifunga akaunti zake za Instagram baada ya kushinikizwa na Serikali ya Tanzania. Mwandishi wa BBC @sammyawami na taarifa zaidi - - #bbcswahili #siasa #wanaharakati #mangekimambi