- 627 viewsDuration: 3:22Manusura wa mauaji ya halaiki ya mwaka wa 1994 nchini Rwanda bado wanaitaka jamii ya kimataifa kukubali jukumu kuwa walishindwa kuzuia mauaji yaliyotokea wakati huo. Wakizungumza wakati wa hafla ya ukumbusho wa mauaji hayo mjini Kigali, manusura walisema kuwa jamii ya kimataifa ilitwaa jukumu kubwa katika mauaji hayo kwa kusalia kimya.