Skip to main content
Skip to main content

Maoni mseto yatolewa kuhusu bajeti ya mwaka huu ya shilingi trilioni 4.84

  • | KBC Video
    156 views
    Duration: 2:28
    Wakenya wa matabaka mbalimbali wametoa maoni mseto kuhusu bajeti ya shilingi trilioni 4.84 ya mwaka 2026/2027. Huku wengine wakihisi bajeti hiyo haikuweza kushughulikia gharama ya maisha inayozidi kupanda, wengine wana maoni kwamba ni hatua sawazishi ikizingatiwa kuwa taifa hili limekubwa na misukosuko ya kiuchumi ambayo halingeweza kuidhibiti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive