- 171 viewsDuration: 3:34Kama njia moja ya kuimarisha viwango vya Elimu na kuhakikisha wanafunzi katika kaunti ya Kajiado hawakatizi masomo katika kidato cha nne, wizara ya Elimu imeanzisha maonyesho ya elimu ya kila mwaka kwa lengo la kuwahamasisha wanafunzi na wadau wa Elimu kuhusu umuhimu wa kuzingatia masomo hadi vyuo vikuu.