- 60 viewsDuration: 1:14Aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga sasa anasema serikali inawalinda na kuwalipa wahuni wanaoharibu mikutano ya siasa, akisema hali hiyo italeta ukosefu wa usalama nchini. Akizungumza Limuru Kaunti ya Kiambu, Maraga aliyetangaza azma ya kuwania urais kupitia chama cha UGM mwakani alisema ataheshimu Katiba endapo atachaguliwa kuwa rais katika uchaguzi mkuu ujao. Maraga alikuwa mgeni wa heshima katika hafla ya vijana