Skip to main content
Skip to main content

Maraga akashifu ufisadi katika mpango wa uagizaji mafuta

  • | Citizen TV
    546 views
    Duration: 2:12
    Jaji Mkuu mstaafu David Maraga amekashifu kile anachokitaja kama ufisadi kwenye sekta ya mafuta kufuatia mpango wa uagizaji mafuta kati ya serikali za milki ya Kiarabu na Kenya.