- 3,375 viewsDuration: 2:55Marekani imesifia jukumu muhimu ambalo Kenya ilitekeleza katika juhudi za kurejesha amani na kukabili magenge ya wahalifu nchini Haiti. Naibu waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani Christopher Landau, aliyewatembelea maafisa wa kikosi cha usalama nchini Haiti katika chuo cha kitaifa cha mafunzo ya polisi kilichoko eneo la Embakasi, kaunti ya Nairobi, alisema taifa hili ni nguzo muhimu katika shughuli za kudumisha usalama duniani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive