Skip to main content
Skip to main content

Marekani yashambulia Iran, ikisema ni shambulizi la kujilinda. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    46,160 views
    Duration: 28:10
    Marekani inaripotiwa kufanya mashambulizi machache katika Kisiwa cha Qeshm nchini Iran, katika hatua inayoelezewa kuwa operesheni ya kujilinda au kulipiza kisasi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw