- 14,882 viewsDuration: 1:36Je, taifa la Tanzania limeanza kupona kutokana na ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka uliopita? Hamida Abubakar alizungumza na msemaji wa serikali ya Tanzania Gerson Msigwa ambaye pia amepuuzia mbali hatua ya upinzani ya kususia maridhiano #bbcswahili #tanzania #uchaguzi2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw