Martha Karua aongoza kampeni za muungano wa Azimio katik kaunti za Meru na Tharaka Nithi

  • | K24 Video
    220 views

    Mgombea mwenza wa urais wa Azimio One Kenya Martha Karua sasa anamtaka naibu rais William Ruto kuonyesha rekodi yake ya miaka aliyofanya kazi serikalini. Karua ambaye alikuwa akiongoza kampeini za muungano wake katika kaunti za meru na Tharaka Nithi aliwahakikishia wakenya kuwa atafuata nyayo za Odinga na wala hatamdharau