Skip to main content
Skip to main content

Marufuku ya kutosafirisha watoto alfajiri yazua mjadala

  • | Citizen TV
    711 views
    Duration: 1:53
    Huku shule zikiandaa wanafunzi wao kufanya mtihani wa gredi ya sita na tisa wiki ijayo, wadau wa elimu wakiwemo walimu na wazazi wameitaka serikali kufutilia mbali marufuku ya mabasi ya Shule kusafirisha wanafunzi msimu huu wa zoezi hilo.