29 Oct 2025 10:33 am | Citizen TV 9,289 views Duration: 50s Familia moja eneo la Tassia, Embakasi Mashariki, inamtafuta binti yao Maryanne Atieno mwenye umri wa miaka 14 aliyepotea wiki jana.