Skip to main content
Skip to main content

Masaibu ya Tuju yamzidi huku mawakili wake wakisema hali yake ya afya sio nzuri

  • | Citizen TV
    3,892 views
    Duration: 3:46
    Aliyekuwa Waziri Raphael Tuju hakufikishwa katika mahakama ya Kibra baada ya kukamatwa hapo jana alipojitokeza baada ya kudaiwa kutoweka siku ya Jumamosi. Mawakili wake walieleza mahakama kuwa Tuju alijeruhiwa wakati wa kukamatwa na kwamba hali yake sio nzuri kiafya na hawezi kufika mahakamani.