Skip to main content
Skip to main content

Mashabiki wa kombe la dunia Gaza watazama michuano juu ya vifusi

  • | BBC Swahili
    5,914 views
    Duration: 39s
    Mamia ya mashabiki wa soka wa Gaza wamekuwa wakifuatilia michuano ya Kombe la Dunia wakiwa wamekaa juu ya vifusi kufuatia majengo yao mengi kuwa magofu kutokana na vita Hawa ni baadhi walipokuwa wakishuhudia siku ya mechi kati ya Argentina na Misri #bbcswahili #gaza #argentina Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw