Mashabiki wapata fursa ya kushinda kupitia jukwaa jipya Multibet Boost

  • | Citizen TV
    454 views

    Wapenzi wa ubashiri wa michezo kwenye jukwaa maarufu la Shabiki.com wamezidishiwa nafasi za ushindi kupitia Multibet Boost. Tayari washindi watatu wametia kibindoni zaidi ya shilingi milioni tatu kupitia jeki ya Shabiki Multibet Boost.