10 Oct 2025 7:39 pm | Citizen TV 489 views Duration: 1:16 Mchezaji gofu wa Kenya Rose Catherine anasema yuko tayari kuiwakilisha taifa kwenye mashindano ya somabay yatakayoandaliwa jijini Cairo nchini Misri.