Skip to main content
Skip to main content

Mashindano ya gofu ya chipukizi

  • | Citizen TV
    166 views
    Duration: 53s
    Kama njia ya kutambua ukuaji wa wachezaji chipukizi wa gofu afrika, muungano wa mchezo huo barani umeanzisha mpango wa kuorodhesha wanagofu bora. Mpango huo umeanza katika mashindano ya afrika kwa chipukizi yanayoendelea katika uwanja wa windsor hapa Nairobi