Mashirika ya haki yataka yaruhusiwe kushuhudia zoezi hilo

  • | Citizen TV
    53 views

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu kutoka ukanda wa pwani sasa wanaitaka serikali kuwapa nafasi ya kushuhudia zoezi la kufukua miili eneo la kwa binzaro kaunti ya kilifi siku moja baada ya amri ya mahakama kuwapa ruhusa maafisa wa upelelezi kufanya hivyo. Wakizungumza nje ya mahakama ya malindi wanaharakati hao wametaka uwazi katika zoezi hilo ili kuhakikisha waliohusika katika mauwaji wamekabiliwa na mkono wa sheria.