Skip to main content
Skip to main content

Mashirika ya haki za kibinadamu yakosoa polisi kwa uzembe dhidi ya wahuni

  • | Citizen TV
    1,216 views
    Duration: 3:14
    Mashirika kadhaa ya kutetea haki za binadamu yanaelekeza kidole cha lawama kwa idara ya polisi kwa kile yanadai ni utetepetevu na uzembe katika kukabiliana na magenge ya wahuni ambayo yamekuwa yakisababisha usumbufu kwa watu hasa katika mikutano ya kisiasa. Kwa mujibu wa mashirika hayo, haieleweki ni kwa nini polisi hawajawakamata baadhi ya wahusika waliotajwa na kutambuliwa.