Mashirika ya kijamii na idara za watoto zafanya uhamisho wa matumizi bora ya mitandao kwa watoto

  • | Citizen TV
    198 views

    Ongezeko la watoto kudhulumiwa mitandaoni limefikia asilimia 57 kutoka 15 hapo awali katika maeneo ya Afrika mashariki na kusini kwa mujibu wa takwimu za sasa. Mashirika ya kijamii pamoja na idara za kulinda watoto wameanzisha kampeni ya uhamasisho kuhusu mbinu za kuwalinda watoto kutokana na hatari mtandaoni. Rob Liban anaarifu.