Skip to main content
Skip to main content

Mashirika yafunza wakazi kuhusu uhifadhi wa msitu Gonja wenye hektari 845 uko Lungalunga kaunti ya K

  • | Citizen TV
    224 views
    Duration: 1:54
    Shirika la Huduma za misitu nchini (KFS) na Plan International kwa kushirikiana na wanachama wa msitu wa Gonja eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale wameanzisha mpango shirikishi wa usimamizi na uhifadhi wa msitu huo. Kaimu naibu mhifadhi mkuu wa misitu, Francis Kariuki, amesema mpango huo wa msitu wenye ukubwa wa hektari 845 unalenga kuipa jamii ya hapo jukumu la kulinda msitu huo ili kuiletea mapato.