11 Dec 2025 11:14 am | Citizen TV 9,821 views Duration: 19:15 Matokeo ya thathmini ya KJSEA kutolewa alasiri. Wanafuzi kuteuliwa kwa sekondari ya juu disemba 15 Rufaa za uteuzi kuwasilishwa disemba 23- januari 6 Wanafunzi kujiunga na sekondari ya juu januari 12, 2026