11 Dec 2025 12:42 pm | Citizen TV 4,753 views Duration: 26:38 Matokeo ya thathmini ya KJSEA kutolewa alasiri. Wanafuzi kuteuliwa kwa sekondari ya juu disemba 15 Rufaa za uteuzi kuwasilishwa disemba 23- januari 6 Wanafunzi kujiunga na sekondari ya juu januari 12, 2026