Skip to main content
Skip to main content

Maswali matano muhumu kuhusu kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Tanzania

  • | BBC Swahili
    13,361 views
    Duration: 3:54
    Baada ya Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel John Nchimbi, kutangaza kujiuzulu na Rais Samia suluhu Hassan kuridhia, maswali mengi yameibuka kutokana na sababu alizotaja na namna alivyojuzulu. Nchimbi alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma kupitia barua aliyoichapisha mitandaoni. Sasa maswali yameibka mengi na hapa @sammyawami anatuchambulia maswali makubwa matano 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #emmanuelnchimbi #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw