- 1,387 viewsDuration: 3:13Maswali yaliiibuka kwenye kamati ya uhasibu bungeni kuhusu matumizi ya shilingi milioni nane kila siku kumsafirisha Naibu Rais katika kaunti za Tharaka Nithi, Laikipia, Isiolo na Kitui. Wabunge wakitaka maelezo ya faida za safari hizo kwa umma