9 Dec 2025 10:35 am | Citizen TV 267 views Duration: 1:43 Chama cha wafanyabiashara tawi la Mombasa limetaka serikali kuweka mikataba ya maelewano na mataifa yaliostawi ili kuongeza idadi ya shehena zinazotoka nchini kuelekea Ughaibuni.