Matibabu ya meno bila malipo ya katika shule mbalimblai za Ngong kaunti ya Kajiado

  • | KBC Video
    12 views

    Kliniki ya meno ya shule ya KENSWED kwa ushirikiano na shirika la TEPE na chuo kikuu cha Nairobi, wanaendeleza huduma ya matibabu ya meno bila malipo, katika shule mbalimbali za Ngong kaunti ya Kajiado. Kulingana na wahudumu wa afya, kubadilika rangi kwa meno ni donda sugu miongoni mwa wakazi wa eneo hilo, hivyo basi ushirikiano zaidi unahitajika kutatua tatizo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News